Tuesday, 19 July 2016

FAHAMU SEHEMU ZINAPO KAA MBEGU ZA DUME KWA SAMAKI.

 Wengi hujiuliza sana ,unamtambuaje samaki jike au samaki dume?.Leo hii nimekuja na picha tu kukuonesha undani wa mbegu za kambale dume zinapokaa,uzalianaji wa samaki aina ya kambale sio rahisi kutokea kwenye mabwawa.Hivyo kupelekea mbegu za samaki huyu kuwa adimu sana na gharama kuliko samaki wengine.Kwenye picha hapo juu inaonesha sehemu ambazo mbegu samaki dume huhifadhiwa tayari kwa urutubishwaji wa mayai kwa jike.
Kwenye picha hiyo ni samaki jike na hayo yanayo kamuliwa ni mayai ya kutoka kwa jike kwa ajili ya kuchanganywa na mbegu za dume.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa