Friday, 16 September 2016

AQUES LTD TANZANIA YATOA PONGEZI KWA WAHITIMU WOTE KUTOKA VYUO VYA UVUVI-FETA.
Uongozi wa Aques ltd Unapenda kuwapongeza wahitimu wote waliofanikiwa kumaliza masomo yao vizuri na kutunikiwa vyeti kuwa tayari sasa kwa kulitumia taifa kwa kwa ajili ya kulilitea maendeleo.
Uongozi wa Aques ltd  pia unatoa pongezi kwa uongozi wa chuo kwa jitahada kubwa wanazozifanya na kutoa wataalam mahili katika masuala mbalimbali ya uvuvi nchi na nje ya nchi.
Aques ltd inapenda kutoa wito kwa wahitimu wote kuto kaa mtaani kwa kutegemea ajira za serikali au za watu binafsi badala yake wawekeze maarifa yao katika kujiajiri wao wenyewe na kutoa elimu stahiki kwa jamii hususani kwa wajasiliamali wadogo na wakubwa.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa