Wednesday, 26 October 2016

LISHA KWA WAKATI HUSIKA SAMAKI WAKO.

Kumekuwa na changamoto kadhaa kususani suala zima la ulishaji wa chakula kwa samaki,baadhi hulisha kwa mazoea bila kuzingatia muda ambao wataalam huwa wanashauri ufuatwe.
Muda rasmi kwa aina za wafugaji ni majira mawili kwa siku aubuhi na jioni hii kutokana na aina yetu ya ufugaji wa samaki.
Ulishaji huu pia inabidi kiwe kiwango sahihi ambacho mfugaji anapaswa kufahamu kulingana na uzito wa samaki kwa kupima wastani wao.
ukiukwaji wa taratibu hizi mara nyingi hupelekea samaki kutokua vizuri.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa