Wednesday, 5 October 2016

SAFIRISHA SAMAKI WAAKO KATIKA MUDA SAHIHI.

 Ufugaji samaki ni kazi au biashara nyepesi sana,lakini umakini unahitajika sana katika kukamilisha urahisi wa biashara hii.
Lengo aques ltd tungependa kukutaarifu kuwa muda sahihi wa kusafirisha samaki ni asubuhi na mapema sana hakikisha unakamilisha upandikizaji wa samaki asubuhi kuanzia saa 1-4 asubuhi kabla ya jua kuwa kali kulinga na msimu halisi wa hali ya hewa.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa