Monday, 24 October 2016

VIONGOZI WA DINI PAMOJA NA WAUMINI WAPATIWA MAFUNZO YA UFUGAJI SAMAKI

AQUES LTD wakitoa mafunzo ya kuiona fursa iliyopo kwenye ufugaji samaki katika Kongamano la Wanawake wa Makanisa ya Kikristo katika Kanisa la ANGLIKANA Tanzania (St. GABRIEL - TUMBI), Kibaha siku ya J'mosi, Oktoba 8, 2016.
Ahsante sana Mch. C.MHINA na Washiriki wote kwa ushiriki wenu.AQUES LTD inawatakia mafanikio tele katika kutekeleza mipango yenu, hakika Mungu yupo nanyi katika mipango yenu ya kujikwamua kimaisha.
Wanawake wakijikwamua katika uchumi, familia itakuwa imejikwamua!..Maana unapoongelea Wanawake, utakuwa umegusa watoto na familia kwa ujumla.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa