Thursday, 8 December 2016

HAKIKA SUPU YA SAMAKI NI TAMU.

Tunapozungumzia masuala mazima ya chakula basi usiache kabisa kutaja supu ya samaki.Ni nyama bora sana nachelea kuandika kuliko nyama zote duniani.Inavirutubisho vingi vya asili na vya pekee katika kujenga miili yetu.
Wafugaji samaki licha ya shughuli hii kuwa ya kibiashara zaidi lakini wapo wanaofanya kwa lengo la kitoweo tu.
Na kwa taarifa ya ziada tu!samaki mwenye uzito kuanzia gram 200+500ana virutubisho vingi zaidi hasa katika kujenga mwili.
Aques ltd inakuhamasisha wewe unatarajia kuanza mradi huu sio razima kibiashara lakini wataalam wetu watakujenga kwa ajili ya kiweo hapo nyumbani kwako.
Asikwambie mtu samaki mtamuu .....

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa