Tuesday, 20 December 2016

RUVU FISH FARMING,FETA NA AQUES LTD KATIKA HARAKATI ZA UBORESHAJI WA UFUGAJI SAMAKI UWE WENYE TIJA ZAIDI KWA JAMII.

 Uwepo wa ushirikiano mzuri baina ya wadau mbalimbali kutoka ndani ya nchi nanje ya ya nchi kunafanya ukuaji wa sekta ya uvuvi kukua kwa haraka hususani kwa mabadiliko ya sasa ambayo ufugaji wa samaki umekuwa kipaumbele Zaidi.
 Katika kubadilishana na mawazo,ujuzi na Ruvu fish farming,FETA na Aques ltd Tanzania walishiriki katika mafunzo ya ufugajin samaki kisha kutembelea miradi ya ufugaji samki kwa lengo la kujifunza kwa vitendo na kutatua changamoto zinazowakabili wafugaji hususani suala mbegu bora za samaki.
 Sehemu ya uzalishaji wa samaki kwa njia ya kisasa kabisa.
 wadau kutoka FETA wakiwa katika moja ya ukaguzi wa mradi uliopo ruvu
mtaalamu kutoka AQUES LTD Emmanuel Godfrey akitolea ufafanuzi wa jambo katika semina hiyo.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa