Wednesday, 21 December 2016

WAFUGAJI TUNAPASWA KUCHUKUA TAHADHARI ZOTE JUU YA MAADUI WA SAMAKI.

Moja ya changamoto kubwa sana iliyokuwa ikiwakabili au inayowakabili wafugaji mpaka sana ni upungufu wa samakipindi wanapo vua samaki wao kwenye mabwawa pasi kujua tatizo hilo linatokana nanini?.
Wafugaji wanapaswa kuchukua tahadhali kuweka mitego maalum au kuweka wavu maalum kwa ajili ya kudhibiti wadudu hatari kama fisi maji ambae huchukua samaki kimya kimya hususani nyakati za usiku pasi mfugaji mwenyewe kujua jambo ambalo hupunguza idadi ya samki ya samki kwenye bwawa lako.
Uwepo wa nyavu maalum kwenye bwawa lako litakusaidia kupata idadi halisi ya mavuno kwa kile ulichokiweka pasi na shaka yeyote ile kwenye bwawa lako.
Aques ltd Tanzania inapenda kuwasisitizia kuwa suala la ulinzi kwenye bwawa lako ni suala nyeti sana na la umuhimu mkubwa sana kulizingatia.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa