Thursday, 16 February 2017

SOKO LA KAMBALE MKAVU (SMOKED)

Soko la Kambale walio kaushwa kwa moshi wana soko kubwa na la uhakika zaidi ukilinganisha na Kambale wabichi...utafiti usio rasmi umeonesha.

Kadhalika Kambale mwenye saizi ndogo (kati ya 160g hadi 220g) anachukua nafasi kubwa sana ya soko kutokana na ufahali wa mtumiaji wa mwisho kuona kuwa amenunua Kambale mzima (whole fish).

Hapa ni Kambale waliovuliwa kutosha shamba la ufugaji, wakakaushwa kwa moshi na kupelekwa sokoni.

Wasiliana nasi kwa kazi za ukaushaji (smoking) na utafutaji wa masoko ya Kambale. Piga au whatsapp Na 0784 455 683 au 0753 749 992 au 0718 986 328

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa