Friday, 10 March 2017

AQUES LTD IKITOA SOMO KUPITIA KITUO CHA RADIO CHA TBC FM

Mtangazaji na mtaarishaji wa kipindi cha MAISHA YANAENDELEA kupitia TBC FM Joseline Kitakwa akiwa kwenye majukumu ya kuhakikisha watanzania anachangamkia fulsa mpya za kila siku.
 Aques ltd katika kuhakikisha kuwa inawapatia elimu kwa njia mbalimbali kwa lengo la kila mwananchi aweze kupata elimu hii ya ufugaji wa samaki popote pale alipo.Licha ya kuwa tunatoa somo kupitia magazeti,majarida,mitandao ,vipindi kupitia televisheni sasa aques ltd anafanya kipindi hicho kupitia kipindi cha cha tbc fm.
Hakika sisi tupo kwa ajili yako,kukujuza kila kinachojili katika miradi ya ufugaji samaki hapa nchini na nje ya nchi kuendana na mabadiriko ya kiteknolojia.
 Timu ya aques ltd ikiwa studio kutengeneza kipindi cha ufugaji wa samaki kupitia kipindi cha redio cha TBC FM.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa