Wednesday, 3 May 2017

THE FUTURE OF AQUACULTURE IN EAST AFRICA - SUMMIT

The future of Aquaculture in East Africa - SUMMIT held in Dar es salaam, Tanzania by host of Australian Government.

Thank you all symposium and aquaculture stakeholders from different angles of Tanzania Institutions, companies, Kenya, Zambia and all about David Ball for his initiatives.

The perception about Aquaculture in East Africa countries is spreading widely.

KONGAMANO la Wataalam na Wadau wa Ufugaji samaki Afrika Mashariki lilifanyika Dar es salaam kwa udhamini wa Serikali ya Watu wa Australia.

Shukrani kwa wataalam wa serikali na wadau wa ufugaji samaki kutoka maeneo mbali mbali ya Taasisi za serikali, makampuni, Kenya, Zambia na David Ball kwa utashi wake wa kuandaa warsha hii.

Mapokeo chanya kuhusu Ufugaji samaki kwa nchi za Afrika Mashariki yanasambaa kwa maeneo makubwa sana.

2 comments:

Herry Sadick said...

hello, what does the green and blue piece of paper they are holding mean.Just curious!

Anonymous said...

Natamani sana kufuga samaki aina ya kambale,ningeomba muweka somo (mada) kuhusu ufugaji wa kambale pamoja na gharama za ujenzi wa bwawa kwa size,na ni wapi mbegu zinapatina n.k

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa