Sunday, 25 June 2017

SOMA UFUGAJI WA SAMAKI KIGANJANI KWAKO.

Katika kuhakikisha kuwa AQUES ltd inatoa huduma bora kwa jamii,sasa imeweza kutengeneza application maalum kwa ajili ya watu wenye simu zinazotumia mfumo wa android kupakua App hiyo buree bila gharama yeyote ile kulinganisha na App nyingine.
Ili kupata App iyo hakikisha kuwa simu yako ipo kwenye mfumo wa android,nenda play store ili kupakua app yetu,kisha andika neon UFUGAJI SAMAKI TANZANIA kisha anza kupakua (download) na itakuwa tayari imekaa kwenye simu yako.
Faida kubwa ya App hii itasaidia kukusanya taarifa mbalimbali za miradi ya ufugaji wa samaki hapa nchini na nje ya nchi pia itasaidia taarifa za masoko mara kwa mara.
Usikose kuakua app hii ya upate elimu buree juu ya ufugaji wa samaki.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa