Wednesday, 14 June 2017

ZIFAHAMU DALILI ZA HATARI KWA SAMAKI.

Wafugaji waliowengi hupenda sana kuona samaki  wao wakicheza na kuwaona juu muda wote,sio mbaya kama unawaona katika hali iyo,wapo wanaowaona katika hali hiyo lakini kumbe samaki wana njaa au ukosefu wa hewa.
1.Maji yanapokuwa machafu kupita kiasi samaki huja juu ya bwawa kutafuta hewa ya Zaida,hali hiyo kwa samaki huachama mdomo juu na kuuchezesha mara kwa mara,samaki huja juu kwa wingi au bwawa zima.
Chunguza maji yako au muite mtaalam kwa ushauri Zaidi.
 2.Njaa,huenda samaki wako hawala chakula cha kutosha hivyo huja juu kuonesha ishara ya uhitaji wa chakula.hivyo hivyo pia samaki huja juu.
Ongeza kiwango cha ulishaji hakikisha samaki wanakula chakula bora na chakutosha.

1 comments:

David Vitales said...

mm nina kambale 300 uzito wa kilo moja na kuendelea nmeshindwa kuwauza sababu nme wapeleka sokoni wakaniambia niwauzie kwa ndoo ndoo kubwa elfu hamsinnko mwanga kilimanjaro nkaenda mpaka moshi ikawa hivyo hivyo soko la manyema ,n fanyeje kiongozi?

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa